Barcelona inatajwa kuwa na mpango wa kumleta mshambuliaji wa Brazil, Gabriel Jesus, huku taarifa zikieleza kuwa anaweza kupewa jezi yenye namba 9 endapo uhamisho huo utakamilika.
Mshambuliaji huyo mwenye uzoefu katika soka la kiwango cha juu amekuwa akihusishwa na uwezekano wa kuhamia Barcelona, jambo ambalo limeibua mjadala miongoni mwa mashabiki wa klabu hiyo.Iwapo dili hilo litakamilika na Gabriel Jesus kujiunga na Barcelona, jezi namba 9 inaweza kuwa sehemu ya sura mpya ya safari yake katika klabu hiyo.
Je, unadhani Gabriel Jesus anafaa kuvaa jezi namba 9 Barcelona?
Toa alama zako kuanzia 1 hadi 10.



Hakuna maoni:
Chapisha Maoni