Rihanna alihudhuria show ya Spring 2027, akiongeza mvuto katika tukio hilo linalowakutanisha wabunifu, wanamitindo na watu mashuhuri kutoka maeneo mbalimbali duniani.
Rihanna amekuwa akijulikana kwa kuonyesha ubunifu kupitia mitindo yake, na kila anapojitokeza kwenye matukio makubwa ya fashion, mashabiki wake huwa na hamu ya kuona muonekano wake mpya.
Paris Fashion Week inaendelea kuwa moja ya matukio makubwa katika ulimwengu wa mitindo, huku mastaa mbalimbali wakijitokeza kuunga mkono wabunifu na chapa zinazoshiriki katika maonesho hayo.


Hakuna maoni:
Chapisha Maoni