Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Palamagamba Kabudi amesema yeyote anayefanya kazi za kihabari bila kuwa na Kitambulisho cha Uandishi wa Habari (Press Card) kinachotolewa na Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari-JAB anavunja sheria ya Huduma za Habari. Waziri Kabudi ametoa kauli hiyo huku akionesha Press Card yake kwenye ufunguzi wa Mkutano wa Mabaraza ya Habari Afrika leo tarehe 14 Julai, 2025 alipozungumza kabla ya kumkaribisha Mgeni Rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Phillip Mpango jijini Arusha.
Jumanne, 15 Julai 2025
ANAYEFANYA KAZI BILA 'PRESS CARD' ANAVUNJA SHERIA
Tags
# HABARI
About Madelemo News
Independent Journalism. In-Depth Analysis. Trusted Reporting. Madelemo News is your go-to digital media platform for comprehensive news, insightful analysis, and stories you can trust. Stay informed, stay ahead.[Read Analysis] Contact Us madelemonews@gmail.com +255 714 195 999
HABARI
Labels:
HABARI
Independent Journalism. In-Depth Analysis. Trusted Reporting. Madelemo News is your go-to digital media platform for comprehensive news, insightful analysis, and stories you can trust. Stay informed, stay ahead. [Read Analysis] Contact Us @madelemonews@gmail.com +255 714 195 999
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni