Breaking


Jumatatu, 28 Julai 2025

DKT. TULIA ACKSON AFUNGUA MKUTANO WA WANAWAKE MASPIKA DUNIANI

 

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Bunge la Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, ameandika historia kwa kufungua rasmi Mkutano wa Wanawake Maspika wa Mabunge Duniani unaofanyika mjini Geneva, Uswisi.

Mkutano huo ni jukwaa muhimu la kuimarisha ushiriki wa wanawake katika uongozi wa mabunge duniani na kubadilishana uzoefu wa kiuongozi, kisera na kijamii.

Dkt. Tulia anaendelea kuiwakilisha Tanzania kwa heshima na uthabiti katika jukwaa la kimataifa.

#KaziIendelee

#WomenInLeadership

#TanzaniaInGeneva

#IPU2025

Hakuna maoni: