Breaking


Ijumaa, 25 Julai 2025

MATUKIO KATIKA PICHA



Viongozi mbalimbali wakiwasili katika Uwanja wa Mashujaa Mtumba Dodoma kushiriki Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa, Ambapo Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anategemewa kuwa Mgeni Rasmi.Maadhimisho hayo hufanyika kila mwaka Tarehe 25 Julai, 2025.




Hakuna maoni: