Mchezaji wa Simba SC, Debora Fernandes Mavambo amesema hatokuwa kwenye kikosi cha timu hiyo kwa msimu ujao wa 2025/26.
Mavambo alijiunga na klabu hiyo msimu wa 2024/2025 kwa mkataba wa miaka mitatu
“Nawashukuru sana familia ya Simba kwa msaada wao mkubwa wakati wote nilipokuwa ndani ya klabu hii. Bila shaka nitaikumbuka klabu hii, pamoja na mashabiki na viongozi wote wa Simba Sports Club Tanzania”
Ameandika Mavambo Fernandes kupitia instagram yake akiwaaga wana Simba SC.



Hakuna maoni:
Chapisha Maoni