Breaking


Jumatatu, 28 Julai 2025

MKT. WA CCM RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM TAIFA JIJINI DODOMA

 

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Jijini Dodoma tarehe 28 Julai, 2025.



Hakuna maoni: