Breaking

Jumapili, 13 Julai 2025

MUHAMMADU BUHARI AFARIKI DUNIA


 Rais wa zamani wa Nigeria, Muhammadu Buhari, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 82.

Buhari alihudumu kama Rais wa Nigeria kuanzia mwaka 2015 hadi 2023, akijulikana kama mmoja wa viongozi wenye ushawishi mkubwa barani Afrika na Jenerali mstaafu wa Jeshi.

Familia yake pamoja na Serikali ya Nigeria wanatarajiwa kutoa taarifa rasmi na ratiba ya mazishi ya kiongozi huyo.

Hakuna maoni: