Breaking

Jumapili, 13 Julai 2025

THANK YOU ZINAENDELEA MSIMBAZI




Klabu ya soka ya Simba imeendelea kutoa mkono wa kwaheri kwa baadhi ya wachezaji wake, Ambapo leo imetangaza rasmi kuachana na Kelvin Kijili , Augustine Okejepha na Hussein Kazi.

Hakuna maoni: