Breaking


Jumamosi, 23 Agosti 2025

MKT WA CCM RAIS DK SAMIA AONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU.

 




Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassani akiongoza kikao cha Halmashuri Kuu ya CCM Taifa, ambacho kinafanya uteuzi wa mwisho wa majina ya Wanachama waliyoomba nafasi za Ubunge na Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi wa Jimbo na Viti Maalum leo Jumamosi Agosti 23,2025 mkoani Dodoma.

Hakuna maoni: