Breaking


Ijumaa, 22 Agosti 2025

TIMU YA TAIFA YA MADAGASCAR YATINGA NUSU FAINALI CHAN 2024


Timu ya taifa ya Madagascar imetinga nusu fainali ya michuano ya CHAN 2024 baada ya kuiondosha Kenya kwa mikwaju ya penalti.

Mchezo huo ulimalizika kwa sare katika dakika za kawaida na za nyongeza, na kulazimisha matuta ya penalti ambapo Madagascar ilishinda kwa jumla ya mabao 4–3.

Kwa ushindi huo, Madagascar imejiweka katika nafasi ya kusaka historia kwenye hatua ya nusu fainali ya mashindano hayo.


Hakuna maoni: