Breaking


Ijumaa, 5 Septemba 2025

𝗞𝗔𝗧𝗜𝗕𝗨 𝗠𝗞𝗨𝗨 𝗗𝗞𝗧. 𝗠𝗜𝗚𝗜𝗥𝗢 𝗔𝗞𝗜𝗕𝗨𝗥𝗨𝗗𝗜𝗞𝗔 𝗣𝗔𝗠𝗢𝗝𝗔 𝗡𝗔 𝗪𝗔𝗦𝗔𝗡𝗜𝗜 𝗡𝗔 𝗪𝗔𝗡𝗔𝗡𝗖𝗛𝗜 𝗪𝗔 𝗧𝗨𝗞𝗨𝗬𝗨

Tazama vibes la Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Asharose Migiro akicheza pamoja na kundi la wasanii mbalimbali wa muziki na filamu hapa nchini pamoja na kundi la Samia Queens na wananchi kwa ujumla katika jukwaa la ushindi wa CCM katika uwanja wa Tandare uliopo mji mdogo wa Tukuyu wilayani Rungwe jijini Mbeya.

Dkt. Migiro hana baya bhana , anacheza balaa kiasi kwamba wananchi wa Tukuyu wamempa maua yake, hakika raha kama hizi huwezi kupita sehemu nyingine yoyote zaidi ya kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM).




#SafariYaCCM

#SafariYaUshindi

#OktobaTunatiki✅

#KaziNaUtuTunasongaMbele

Hakuna maoni: