Breaking

Ijumaa, 3 Oktoba 2025

HERI YA SIKU YA WAALIMU BUKOMBE

Leo kutoka hapa Bukombe yanafanyika maadhimisho ya siku ya mwalimu duniani kwa wilaya ya Bukombe ikiwa ni msimu wa sita toka kuanzishwa kwa maadhimisho haya hapa Bukombe.

Mgombea ubunge wa Jimbo la Bukombe na Naibu Waziri Mkuu Dkt. Dotto Biteko atakuwepo na mgeni rasmi ni Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Kassim.



#Bukombe

#kusemanakutenda

#SikuyaMwalimuDuniani

#sikuyamwalimubukombe2025

Hakuna maoni: