Karibu kwenye Meza ya Magazeti leo Novemba 21, 2025. Tumekuandalia muhtasari wa habari kubwa zilizopewa kipaumbele na magazeti mbalimbali hapa nchini. Habari hizo zinagusa masuala ya siasa, uchumi, michezo pamoja na jamii kwa ujumla, zikiangazia matukio muhimu yanayoendelea nchini na duniani.
Katika kurasa za mbele, magazeti yameripoti juu ya maendeleo ya miradi ya serikali, mabadiliko ya kiutendaji katika sekta mbalimbali, pamoja na matukio makubwa ya kijamii. Upande wa michezo umeendelea kutoa taswira ya maandalizi ya timu za ligi kuu pamoja na taarifa mpya za wachezaji.




















Hakuna maoni:
Chapisha Maoni