Breaking

Ijumaa, 14 Novemba 2025

TABIA ZA WATU WENYE DAMU GROUP 'O'...


1.  Hawatawaliki kirahisi.


2. Wanataka uwasikilize na kufuata wasemacho.


3. Hufanya maamuzi bila kufikiri matokeo ya maamuzi yao.


4. Wakikasirika wanakasirika kweli.


5. Wanaweza kuongea maneno ya kuumiza ila hayatoki moyoni ni hasira tu.


6. Wagumu kushuka na kuomba msamaha.


7. Sio wavumilivu, ni wepesi kukata tamaa.


8. Wanapenda mashindano na mabishano.


9. Wepesi kulaumu wengine badala ya matendo yao.


10. Hawapendi kukosolewa.


11. Ukiwaumiza hawasemi wanajitenga nawe. 


12. Hawana uwezo wa kuzingatia jambo moja kwa muda mrefu matokeo yake wanaanzisha mambo mengi na mara nyingi yanaishia njiani.

Hakuna maoni: