Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania TMA imetoa utabiri wa hali ya hewa kwa maeneo mbalimbali nchini, kwa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku kama ifuatavyo,
- Kagera na Geita: Mawingu kiasi na vipindi vya jua.
- Visiwa vya Unguja na Pemba: Mawingu kiasi na vipindi vya jua.
- Dar es Salaam na Tanga: Mawingu kiasi na vipindi vya jua.
- Kigoma, Katavi na Tabora: Mawingu kiasi na vipindi vya jua.
- Ruvuma, Mtwara na Lindi: Mawingu kiasi na vipindi vya jua.
- Morogoro, Singida na Dodoma: Mawingu kiasi na vipindi vya jua.
- Arusha, Manyara na Kilimanjaro: Mawingu kiasi na vipindi vya jua.
- Mwanza, Shinyanga, Simiyu na Mara: Mawingu kiasi na vipindi vya jua.
- Pwani (ikijumuisha Mafia): Mawingu kiasi na vipindi vya jua

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni