Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi Tanzania (UWT) ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) amefika nyumbani kwa Marehemu Jenista Joakim Mhagama, Itega Jijini Dodoma, leo tarehe 11 Disemba, 2025, na kuwafariji Ndugu, Jamaa na Marafiki.
Chatanda akiwa na viongozi mbalimbali wakiongozwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba wamesaini kitabu cha Maombelezo.
Bwana ametoa na Bwana ametwaa Jina lake lihimidiwe.






Hakuna maoni:
Chapisha Maoni