Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania imetoa utabiri wa hali ya hewa kwa maeneo mbalimbali nchini, kama ifuatavyo,
TAHADHALI:
vipindi vifupi vya mvua kubwa vinatarajiwa katika baadhi ya maeneo ya mikoa ya arusha, kilimanjaro, manyara, kigoma, katavi, tabora, singida, dodoma, rukwa, songwe, mbeya, iringa, njombe, morogoro, ruvuma, tanga, dar es salaam, pwani (ikijumuisha visiwa vya mafia), lindi na mtwara pamoja na visiwa vya pemba na unguja.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni