Breaking


Ijumaa, 9 Januari 2026

INDICATIVE EXCHANGE RATES 09-01-2026

 

Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetangaza viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni kwa leo Ijumaa.


Dola ya Marekani imenunuliwa kwa Shilingi 2,445.98 na kuuzwa kwa Shilingi 2,470.44, Pauni ya Uingereza imenunuliwa kwa Shilingi 3,289.11 na kuuzwa kwa Shilingi 3,322.00, huku Yuro ikinunuliwa kwa Shilingi 2,856.17 na kuuzwa kwa Shilingi 2,884.73.


BoT pia imetangaza bei ya dhahabu ambapo wakia mmoja (Troy Ounce) umenunuliwa kwa Shilingi 10,833,759.95 na kuuzwa kwa Shilingi 10,942,097.55.


BoT imesema viwango hivyo ni elekezi na hutumika kama mwongozo katika miamala ya fedha na biashara ya madini nchini.


Hakuna maoni: