Breaking


Jumatano, 11 Februari 2026

ANNE MAKINDA ATEULIWA KUWA MWENYEKITI WA BODI YA USIMAMIZI NBS

Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amemteua Anne Makinda kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Usimamizi ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS)

Taarifa ya uteuzi huo imetolewa leo Februari 11,2026 na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka.

Hakuna maoni: