Mshambuliaji wa Simba SC, Selemani Mwalimu (20), amemaliza adhabu yake ya kufungiwa mechi tatu na sasa yuko tayari kurejea uwanjani.
Mwalimu anatarajiwa kuwa sehemu ya kikosi cha Simba katika mchezo dhidi ya TRA United utakaopigwa Machi 22 kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo.
Kabla ya adhabu hiyo, Mwalimu alikuwa amekosa michezo dhidi ya B19 FC, Singida Black Stars pamoja na Pamba Jiji.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni