Lazarus Chakwera, Rais wa Zamani wa Malawi na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Shirley Ayorkor Botchwey, amekutana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo jijini Dar Es Salaam Aprili 09, 2026.
Mkutano huo ulilenga kumkaribisha nchini na pia ni ishara ya kuanza ratiba yake ya kukutana na wadau mbalimbali ikiwemo kukutana leo na ujumbe wa Serikali katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere.






Hakuna maoni:
Chapisha Maoni