Breaking


Ijumaa, 3 Aprili 2026

IJUMAA KUU: YESU KRISTO ANAKUMBUKWA KWA SADAKA YA UPENDO

 

Katika kuadhimisha Ijumaa Kuu, Yesu Kristo anakumbukwa kwa sadaka yake kubwa ya upendo na ukombozi wa wanadamu. Siku hii ni fursa kwa waumini kutafakari maisha yao, kujifunza msamaha na kuimarisha imani.


Madelemo News inawatakia wasomaji wake wote Ijumaa Kuu njema na yenye amani, upendo na baraka tele.


Hakuna maoni: