One Tanzanite Football Academy (OTFA) wameibuka kuwa Mabingwa wa Gothia Cup 2026 - U17 Playoff A.
Hii ni kutoka zaidi ya timu 137 hadi kuwa Mabingwa, vijana wetu wameandika historia mpya kwa Tanzania na Afrika kupitia nidhamu, kujituma na uzalendo.
Huu si ushindi wa OTFA pekee, bali ni ushindi wa Tanzania nzima. Asanteni kwa maombi, sapoti na imani yenu. Tunawashukuru wadhamini na wadau wetu wote kwa kuwa sehemu ya safari hii ya kihistoria.
Tanzania imebeba Kombe la Gothia Cup U17, 2026!
Ndoto zimetimia. Historia imeandikwa. Ubingwa umerudi nyumbani.
#Champions #GothiaCup2026 #OTFA #OneTanzaniteFootballAcademy #Tanzania #YouthFootball #HistoryMade #BelieveAchieveInspire #ProudlyTanzanian #FutureStars #ChampionsOfSweden




Hakuna maoni:
Chapisha Maoni