Orodha hiyo imetangazwa leo kupitia ukurasa rasmi wa Ballon d’Or, huku baadhi ya majina makubwa katika soka la dunia yakijumuishwa kwenye kinyang’anyiro hicho.
Miongoni mwa wachezaji waliotajwa ni Kylian Mbappé, Lamine Yamal, Ousmane Dembélé na Erling Haaland.
Mshindi wa Ballon d’Or 2026 atapatikana baada ya mchakato wa upigaji kura unaohusisha waandishi wa habari kutoka nchi mbalimbali duniani.


Hakuna maoni:
Chapisha Maoni