Breaking


Jumanne, 8 Septemba 2026

BALOZI WA PALESTINA TANZANIA ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO


Balozi wa Palestina nchini Tanzania,
Salam Abu Sharar, leo Septemba 8, 2026, amesaini kitabu cha maombolezo katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Lumumba jijini Dar es Salaam, kufuatia kifo cha Hafidh Ameir Hassan, mwenza wa Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Hafidh Ameir Hassan amefariki dunia Septemba 7, 2026.



Katika tukio hilo, Balozi Salam Abu Sharar ametoa salamu za pole kwa Mwenyekiti wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, pamoja na familia ya marehemu, akieleza masikitiko yake kufuatia msiba huo.


Hakuna maoni: