MKURUGENZI Mkuu wa Vyombo vya Habari vya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dennis Joe Msacky, amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Masha Mshomba, katika ofisi za shirika hilo jijini Dar es Salaam, leo tarehe 4 Novemba 2026.
Mazungumzo hayo yalilenga kuimarisha uhusiano na ushirikiano kati ya NSSF na Vyombo vya Habari vya Chama, kwa lengo la kukuza mahusiano ya kiutendaji na kuboresha ushirikiano baina ya taasisi hizo.







Hakuna maoni:
Chapisha Maoni