Breaking

Ijumaa, 14 Novemba 2025

LEO NI SIKU YA KISUKARI DUNIANI


 Leo ni Siku ya Kisukari Duniani , na kwa kuzingatia kauli mbiu ya mwaka huu “ Kisukari na Ustawi wa Afya: Chukua Hatua Kudhibiti Kisukari Mahali Pa Kazi ,” vyombo vya habari vinahimizwa kutumia majukwaa yao kuhamasisha umma kuhusu umuhimu wa uchunguzi wa mapema, kuandika na kuripoti habari zenye ushahidi kuhusu kisukari, kuelimisha jamii ya wafanyakazi juu ya mbinu za kuzuia na kudhibiti kisukari mahali pa kazi, kuibua mijadala inayoleta ufahamu kuhusu mtindo bora wa maisha, na kushirikiana na wadau wa afya kusambaza taarifa sahihi zitakazowezesha jamii kuchukua hatua za kuboresha ustawi wao.

Hakuna maoni: