Leo, Alhamisi tarehe 14 Novemba 2025, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemuapisha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hafla ya uapisho imefanyika Ikulu Chamwino, Dodoma, na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali, wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama, pamoja na wageni waalikwa.




Hakuna maoni:
Chapisha Maoni