Breaking

Jumatano, 3 Desemba 2025

TANZANIA U17 YASHINDA CECAFA, YAFUZU AFCON 2026 KWA KUSHINDA UGANDA 3-2

 

Timu ya Taifa ya Tanzania chini ya umri wa miaka 17 imeibuka mabingwa kwenye mchezo wa fainali kufuzu AFCON 2026 Kanda ya CECAFA dhidi ya Uganda kwa kushinda magoli 3 kwa 2. 


Tanzania U17 🇹🇿 3️⃣ - 2️⃣ 🇺🇬 Uganda U17


*WAFUNGAJI:* 

Razack Juma ⚽️ ⚽️

Luqman Mbalasalu ⚽️

Hakuna maoni: